MRADI WA MAJI KINTINKU MBIONI KUKAMILIKA


Pichani ni wakatendaji wa Mkandarasi Halem Construction wakishusha mabomba kwaajili ya ukamilishaji wa mradi wa maji Kintinku Leo Oktoba 28, 2023 katika Kijiji cha Lusilile Kintinku.

Mbunge wa Jimbo hilo la Manyoni Mashariki Mheshimiwa Dkt. Pius Chaya amethibitisha kufikiwa kwa hatua nzuri ya mradi huo ambao utakuwa na msaada mkubwa kwa wananchi wa Jimbo hilo.



Mradi huo Mkubwa unaolenga kutatua changamoto ya maji katika maeneo mbalimbali Wananchi watanufaika kuyatumia katika shughuli mbalimbali za kibinadamu ikiwemo Kilimo na Ufugaji.

Hata hivyo Vijiji 11 vya kata ya Mawen, Makutupora, Chikuyu na Kintinku vitanufaika na mradi huo.
Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post

TUTUMIE UJUMBE HAPA