Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya kikao na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mhe. Balozi Tri Yogo Jatmiko katika mazungumzo yaliyolenga kushirikiana katika masuala mbalimbali ya Sekta ya Nishati, Elimu, Madini na Kilimo Ofisini kwake Oktoba 25, 2023 jijini Dar es salaam.
Habarika & Burudika
Post a Comment