Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akishuhudia kufunguliwa kwa valvu ya kuruhusu majimoto yanayotoka ardhini kupita katika kisima cha utafiti wa Jotoardhi katika eneo la Kiejo-Mbaka Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya leo Februari 20, 2024
Anayefungua Valvu ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya Uendelezaji wa Jotoardhi Tanzania ( TGDC), Mhandisi Mathew Mwangomba.
Habarika & Burudika
Post a Comment