Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea
Ripoti ya Kamati Maalum kuhusu Kutathmini hali ya Utendaji na Uchumi
kwenye Vyombo vya Habari Tanzania Bara kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati
hiyo Mwandishi Mbobevu Tido Mhando wakati wa Kongamano la Pili la
Maendeleo ya Sekta ya Habari katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es
Salaam tarehe 18 Juni, 2024. Picha na IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye kabla
ya kufungua Kongamano la Pili la Maendeleo ya Sekta ya Habari katika
ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Juni, 2024.

Baadhi
ya Wanahabari Wabobevu wakiwa kwenye Kongamano la Pili la Maendeleo ya
Sekta ya Habari lililofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar
es Salaam tarehe 18 Juni, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia
viongozi, Maafisa Habari wa Serikali pamoja na Taasisi mbalimbali kabla
ya kufungua Kongamano la Pili la Maendeleo ya Sekta ya Habari katika
ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Juni, 2024.
Post a Comment