MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI NA VYA KATI - 2025

 

Wanafunzi 149,818 sawa na asilimia 69.96% wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, huku 64,323 wakipangiwa vyuo vya elimu ya ufundi na ualimu, kwa mwaka wa masomo 2025.

Takwimu hizo zimetolewa leo Juni 6, 2025 na Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, ambaye amesema kuwa jumla ya wanafunzi 214,141 (wasichana 97,517 na wavulana 116,624) walikuwa na sifa za kuchaguliwa, wakiwemo 1,028 wenye mahitaji maalumu.

📍 Majina ya waliochaguliwa na fomu za kujiunga zinapatikana kwenye:

🔹 www.tamisemi.go.tz
🔹 www.nactvet.go.tz

🟢 SOMA MAJINA HAPA: Gusa link hapo juu ujue umechaguliwa wapi!

Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post

TUTUMIE UJUMBE HAPA