MHANDISI JUMBE ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE SHINYANGA MJINI
0
Mhandisi James Jumbe Wiswa akionesha Fomu ya Maombi ya Kugombea Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia Chama Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Juni 28,2025 baada ya kuchukua katika ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga Mjini
Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603
إرسال تعليق