Pichani ni Sehemu ya Wananchi wa Bukombe mkoani Geita waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 12 Oktoba, 2025.
Aidha Dkt. Samia alimkabidhi ilani ya Chama hicho Mgombea nafasi ya ubunge kwa tiketi ya chama hicho Katika Jimbo la Bukombe daktari Doto Mashaka Biteko leo tarehe 12/oktoba/2025 baada ya mkutano mdogo wa Kampeni kuelekea Uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 29/10/2025.
إرسال تعليق