Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa tayari amewasili kwenye viwanja vya shule yaa sekondari Ushirombo kusherehekea siku ya Mwalimu- Bukombe.
Mhe. Kassim Majaliwa ambaye ni mgeni rasmi katika siku ya mwalimu - Bukombe amewasili katika viwanja hivi akiambatana na mgombea Ubunge jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Mashaka Biteko.
Huu unakuwa msimu wa sita wa Maadhimisho ya siku ya mwalimu - Bukombe tangu yalipoanzishwa rasmi.
#Bukombe
#kusemanakutenda
#SikuyaMwalimuDuniani
#sikuyamwalimubukombe2025
Post a Comment