BALOZI OMAR AIAGIZA NIC KUANDAA MIKAKATI ILI KUENDANA NA MALENGO YA MUDA MREFU YA NCHI


Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza wakati wa kikao na Uongozi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), baada ya kukutana na kufanya mazungumzo katika ukumbi wa mikutano wa Waziri wa Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo walijadiliana masuala mbalimbali kuhusu fursa za kuendelea kukuza uchumi wa nchi.
Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post

TUTUMIE UJUMBE HAPA