Leo, 26 Januari, Dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Nishati Safi.
Nishati safi ni suluhisho la mabadiliko ya tabianchi, ulinzi wa mazingira na afya bora kwa wananchi. Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea kuhakikisha upatikanaji wa nishati safi ya kupikia na umeme jadidifu kwa wote.
Tuchukue hatua leo, tutumie nishati safi kwa mustakabali wa Taifa letu na vizazi vijavyo.
Mhe. Deogratius Ndejembi
Waziri wa Nishati
إرسال تعليق