PROF. SHEMDOE AWASILISHA RAMADA YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KWA MWAKA WA FEDHA 2026/27


 Leo Machi 31, 2026, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amewasilisha randama ya makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2026/27.


Mhe. Prof. Shemdoe amewasilisha randama hiyo yenye mafungu 37 kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba ambaye anatarajia kusoma rasmi makadirio hayo kesho tarehe 01 Aprili, 2026 katika kikao cha pili cha mkutano wa tatu wa Bunge la Bajeti, ambapo Wabunge watapata fursa ya kujadili mipango na matumizi ya fedha ya ofisi hiyo.

Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post

TUTUMIE UJUMBE HAPA