MAKAMU WA RAIS AMFARIJI RAIS SAMIA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akimfariji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia kufiwa na Mume wake, Hafidh Ameir Hassan, wakati alipofika katika makazi yake, Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 07 Septemba 2026.


Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA