MHE. NDEJEMBI MKOANI ARUSHA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA KIKAO KAZI CHA WENYEVITI WA BODI YA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI NA MASHIRIKA YA UMMA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amewasili mkoani Arusha ambapo anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi na Mashirika ya Umma kinachofanyika  katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) leo tarehe 28 Septemba 2026.







Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA