WAZIRI HOMERA AWASILI SUPER DOME KUZINDUA MKATABA WA HUDUMA KWA WATEJA ULIOHUISHWA WA TANESCO


Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, akiingia katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 6, 2026, kwa ajili ya kuzindua Mkataba wa Huduma kwa Wateja uliohuishwa pamoja na huduma nyingine za wateja wa TANESCO.

Kutoka Wizara ya Nishati,  Mhe.Homera amembatana na Katibu wa Wizara ya Nishati ( Mafuta na Gesi Asilia), Dkt. James Mataragio pamoja na Mwakilishi wa Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu), Mha. Christopher Nyondo.

Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post

TUTUMIE UJUMBE HAPA