WAZIRI MKUU AWASILI NCHINI MAREKANI KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MKUTANO WA KIMATAIFA WA NORMAN E. BORLAUG


Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Des Moines, Jimbo la Iowa, nchini Marekani, Oktoba 18, 2026, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug (Borlaug Dialogue), utakaofanyika Oktoba 20–22, 2026.




Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA