DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO CHA CCM MKOA WA KIGOMA


Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kigoma leo, Jumatatu, Novemba 2, 2026.


Dkt. Mwigulu, ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Kigoma, ameongoza kikao hicho katika Ofisi ya CCM Mkoa wa Kigoma.










Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA