MAKAMU WA RAIS NA WAKAZI WA LINDI.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, akisalimiana na moja ya wanafamilia wakazi wa mtaa wa Mpilipili mkoani Lindi, wakati alipofika mtaa huo kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mradi Tactic, akiwa ziarani mkoani Lindi.


Familia hiyo imemuombea heri Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Serikali yake na kumuomba Makamu wa Rais aendelee kuchukua hatua kuhusu barabara hiyo ili ikamilike na kuwasaidia.




Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post

TUTUMIE UJUMBE HAPA