WANANCHI NANGURUKURU WAMPOKEA MAKAMU WA RAIS AKIWA ZIARANI MKOANI LINDI.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, leo tarehe 15 Novemba 2026 amezungumza na wananchi wa Ngurukuru Wilaya ya Kilwa, akiwa ziarani mkoani Lindi.

 

Makamu wa Rais, amewahakikishia wananchi wa Kilwa, kwamba Serikali itaendelea na jitihada za kuboresha maisha ya wananchi kwa kuimarisha huduma za kijamii na miundombinu ili waweze kufanya shughuli za uzalishaji kwa ufanisi.







Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA