PICHA: DKT. MWIGULU ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM


 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameshiriki Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu  ya CCM Taifa kilichofanyika Zanzibar leo tarehe 25 Januari, 2026.

Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan.

 

 






Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA