Rais
wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ametangaza leo Jumatatu, Januari 19,
2026 kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa ili kusherehekea ushindi wa timu
ya taifa, Teranga Lions, kwenye fainali ya AFCON 2025.
Tangazo
hilo limekuja baada ya Senegal kuibuka mabingwa kwa kuifunga Morocco bao
1-0 katika fainali ya AFCON iliyochezwa usiku wa kuamkia leo mjini
Rabat.
Rais Faye amesema ushindi huo ni fahari kwa taifa na uthibitisho wa mshikamano na uwezo wa Senegal katika soka la Afrika.
Post a Comment