RAIS WA SENEGAL ATANGAZA LEO KUWA SIKU YA MAPUMZIKO KITAIFA KUFUATIA USHINDI WA SENEGAL

 


Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ametangaza leo Jumatatu, Januari 19, 2026 kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa ili kusherehekea ushindi wa timu ya taifa, Teranga Lions, kwenye fainali ya AFCON 2025.

Tangazo hilo limekuja baada ya Senegal kuibuka mabingwa kwa kuifunga Morocco bao 1-0 katika fainali ya AFCON iliyochezwa usiku wa kuamkia leo mjini Rabat.

Rais Faye amesema ushindi huo ni fahari kwa taifa na uthibitisho wa mshikamano na uwezo wa Senegal katika soka la Afrika.




Je?, UNA HABARI,PICHA, TANGAZO AU TAARIFA AMBAYO UNGEPENDA TUICHAPISHE KATIKA MTANDAO HUU? WASILIANA NASI, Email : fichuziblog@gmail.com , Simu +255 752 925 603

0 تعليقات

إرسال تعليق

Post a Comment (0)

أحدث أقدم

TUTUMIE UJUMBE HAPA