Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi akiwa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Felchesmi Mramba wakiwa tayari kwa uzinduzi rasmi wa Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115 leo tarehe 22 Agosti 2026.
Habarika & Burudika



Post a Comment